Sign in or learn about membership
Sign in or learn about membership
On the 10-10-2010 Dar es Salaam residents will ride bicycles from Mnazi Mmoja carrying climate messages to join hands with people around the world demonstrating to national and world leaders that people in every country on Earth want climate action!
Non Cyclists are also welcome, come and join us for music, clean up and to show your support for action to stop climate change
If you have a bicycle come with it at 8am to 4pm 10th October,
Mnazi Mmoja Grounds
All are welcome
-----------------------------------------------------
Tarehe 10-10-2010 wakazi wa Dar es Salaam wataendesha baiskeli kutoka Mnazi Mmoja wakibeba ujumbe wa mabadiliko ya tabianchi kuunga mkono watu wengine duniani kote kuonyesha kwa viongozi wa kitaifa na kimataifa kwamba watu duniani kote wanataka vitendo juu ya mabadiliko hayo
Wasiondesha baiskeli pia mnakaribishwa, njoo na ujiunge nasi kwa mziki, kusafisha na kuonyesha mshikamano wako kuzuia mabadiliko ya tabianchi
Kama una baiskeli njoo nayo
saa 2 asbh hadi 10jioni Oktoba 10,
Viwanja vya Mnazi Mmoja
Nyote Mnakaribishwa!